Mwanamume mashakani kwa kuficha kamera katika vyumba vya wanawake vya kuoga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kisa hicho kimetokea katika ubalozi wa Australia jijini Bangkok nchini Thailand ambako mwanamume huyo alikuwa akifanya kazi zamani
Mwanamume mmoja ameshtakiwa baada ya kamera za kadhaa za siri kupatikana katika vyumba vya wanawake vya kuoga katika ubalozi wa Australia jijini Bangkok nchini Thailand.

Mwanamume Akamatwa kwa Kuweka Kamera za Siri katika Vyumba vya Wanawake Vya Kuoga
Mshukiwa alikamatwa baada ya kamera za siri kupatikana katika vyumba vya wanawake vya kuoga katika ubalozi wa Australia jijini Bangkok nchini Thailand.
Wizara ya Australia ya Masuala ya Nje na Biashara imethibitisha kuwa polisi nchini Thailand walikamata mfanyakazi mmoja wa zamani mwezi jana.

Msemaji wa wiazara hiyo alisema kuwa maslahi ya wafanyakazi wake ni suala la kipaumbele japo alidinda kuzungumza zaidi kuhusu mchakato wa kisheria unaoendelea kuhusu kisa hicho.

“Maslahi na ufaragha wa wafanyakazi wote ni kipaumbele kwa Wizara hii na tutandelea kutoa sapoti inayohitajika,” msemaji huyo alisema katika taarifa iliyotumwa kwa shirika la habari la AFP.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad