Rais wa Ukraine Afunguka "Yoyote Anayetaka Kupigana na Urusi Aje Nimpatie Silaha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amewahamasisha Raia kuwa tayari kupigania Nchi yao, na kusema silaha zitatolewa mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi

Kufuatia uamuzi wa Urusi kuvamia Ardhi yake, #Ukraine imekatiza rasmi uhusiano wake wa Kidiplomasia na Taifa hilo. Picha kadhaa za Mitandaoni hivi karibuni zilionesha Raia wa Ukraine wakipewa Mafunzo ya Msingi ya Kijeshi taharuki ya mzozo huo ilipopanda


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad