Zitto Kabwe "Wao Wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi Namuona Kaka Yangu yupo Jela"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"

"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo" ———Zitto Kabwe Dar es salaam leo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad