3/16/2022

Askari Anayemlinda Mwekezaji Adaiwa Kumuua Raia Kwa Risasi
Cosmas Hamis Kusililwa (25) aliyekuwa akichimba Madini Kijiji cha Mwang’holo, anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Polisi wanaolinda eneo la Kampuni ya El-Hillal Minerals Ltd

Tukio hilo lilitokea Machi 10, 2022 wakati Cosmas akiwa nje ya eneo la Mwekezaji huyo na Wachimbaji wengi wadogowadogo. Kamanda ACP George Kyando amesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea huku mtuhumiwa a

kiwa anaendelea na shughuli zake na kuwataka Wananchi kutojichukuliwa Sheria Mkononi


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger