Elon Musk ataka Putin aje kwenye pambano ili mshindi aamue hatima ya Ukraine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Katika hatua nyingine ya kushangaza, bilionea wa teknolojia wa Marekani Elon Musk anaonekana kumthubutu rais wa Urusi Vladimir Putin kwenye pambano la ana kwa ana, akipendekeza mshindi aamue hatima ya Ukraine.

Wanasiasa wa Ukraine hadi sasa wamekaribisha ofa hiyo, ambayo imetolewa kwa njia ya kukejeli.Meya wa Kyiv Vitali Klitschko, ambaye pia ni bondia wa zamani, alijibu kwa emoji tatu kali za mkono.

Rais wa Urusi bado hajajibu. Musk amekuwa mfuasi mkubwa wa Ukraine wakati wote wa uvamizi huo.

Mapema mwezi huu moja ya kampuni zinazomilikiwa na mfanyabiashara huyo wa teknolojia mwenye makao yake huko California, Starlink, ilisambaza Ukraine na idadi ya vyombo vya satelaiti vilivyokusudiwa kulinda ufikiaji wa mtandao nchini
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad