Mfungwa Mkenya Aliyefaulu Mtihani Kitaifa Alifanya kosa la Mauaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mfungwa Mkenya aitwae Amelia Liyabuye mwenye umri wa miaka 31 kutoka Gereza la Wanawake la Kakamega Nchini Kenya amekuwa gumzo leo baada ya kutajwa kwenye orodha ya Wanafunzi bora waliofaulu mtihani wa kitaifa wa kumaliza elimu ya msingi.

Baada ya taarifa yake kuwa gumzo leo wengi wametaka kujua ni sababu gani ilisababisha yeye kufungwa jela? sababu hiyo ni kukutwa na hatia ya kufanya mauaji mwaka 2018 ambayo yamemfanya sasa anatumikia kifungo cha miaka 10
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad