3/04/2022

"Nina hamu ya kujichubua kuwa Mweupe" - Amber Lulu

 


Inaonekana rangi nyeupe imemvutia zaidi msanii Amber Lulu kuliko aliyokuwa nayo sasa baada ya kuweka hadharani kwamba ana hamu ya kujichubua ili kuwa mweupe.

Amber Lulu amefichua hilo kwenye Insta Story yake kwa kuandika "Nina hamu ya kujichubua kuwa Mweupe"

 

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger