Simba Tamu Kama Nini, Waitandika Dodoma Viwili..Msimamo wa Ligi Uko Hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mabingwa watetezi wa ligi kuu bara, Simba SC wameendeleza moto wao pale walipoishia baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Dodoma jiji.


Magoli ya Simba yamefungwa na Clautos Chama kwa mkwaju wa penati dakika ya 57, huku Meddie Kagere akiweka chuma ya pili dakika ya 75.


Simba sasa anafikiaha pointi 37 baada ya michezo 17.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad