Zari Hassan wa Mondi Ndoa Yanukia na Kisharobaro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


SIYO stori kwamb baby mama wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady yupo kwenye penzi jipya la kijana barobaro
aitwaye GK Choppa. Zari na Choppa; wote ni raia wa nchini Uganda wenye
maskani yao Durban nchini Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uganda vilivyozungumza na wawili hao,
huwenda Zari na Choppa tayari wanaishi pamoja nyumbani kwa mwanamama huyo mwenye watoto watano.

Vyombo hivyo vya Habari za burudani vinaeleza kwamba, Choppa ameanza
prosesi za ndoa akianza na pete ya uchumba ambayo tayari amemvalisha Zari na
kinachofuata sasa ni ndoa.

“Yes, I’m going to make it official (Ndiyo, nakwendakufanya iwe rasmi),” anasema
Choppa katika video na kuongeza; “Nakwenda kumvalisha pete ya ndoa kwa sababu sipendi kuona mtu akimkosea heshima.

Mimi ndiye mwanaume wake wa mwisho.”
Kwa upande wake, Zari alipokuwa akiruka live kunako Insta Live anakiri kupata mwanaume mpya hivyo hataki kuulizwa kuhusu watu wengine akimaanisha Diamond.

Zari amekuwa akionekana kwenye video mbalimbali na mwanaume huyo akimhudumia na kumpetipeti kiasi cha kusifiwa kuwa anajua kumtunza mwanaume wake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad