4/29/2022


Rapper Country Boy Amefunguka Kuwa Ni Ngumu Kwa Rapper Young Lunya Kumpita Kwasababu Yeye Ndiye Aliyemtoa, Na Kutolea Mfano Kuwa #DRAKE Hawezi Kumpita #LILWAYNE 

Kwenye #Refresh Ya Wasafi TV #WIZZY Amesema.........."#LUNYA Hawezi Nipita Na Hatokuja Kunipita Hata Siku Moja Ni Sawa Na Useme Kuwa #LilWayne Amepitwa Na #Drake No #DRAKE Anafanya Vizuri #WAYNE Kama Angekuwa Anamuogopa #DRAKE Asingemtoa, Maana Yake Alikuwa Anataka Akue Ndio Maana Nataka Aende.

"Mimi Nilikua Najua #LUNYA Lazima Awe Mkubwa Ndio Maana Nimepmbana Mpaka Atoke, Maana Yake Ningekuwa Nasema #LUNYA Atakuwa Mkubwa Nitafanyeje?? Lakini Hata Mimi Nimekutana Na Wakubwa Wengi Na Bado Nipo Hii Inaniaminisha Kuwa Ninafanya Kwa Nafasi Yangu"

"Muziki Wa Hip hop Hauna Mtu Mmoja Tofauti Na Hapo Tungekuwa Tunamsubiri Msanii Mmoja Amalize Muziki Astaafu Ndio Aje Msanii Mwingine No Muziki Ni Wa Kila Mtu"

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger