Ticker

6/recent/ticker-posts

Ripoti ya CAG : Bombardier Dash 8 (Q3000) Haijafanya Kazi Kwa Miaka 3

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>ATCL imepata hasara kwa kuwa ndege 1 imekuwa matengenezoni kwa zaidi ya miaka 3 huku uendeshaji wa Ndege 2 (Boeing-B787) ulizidi Mapato na kusababisha hasara ya Tsh. bilioni 23.61
-
Hadi kufikia Juni 30, 2021, ATCL ilikuwa na Ndege 9 ambapo Boeing (B787) ni 2, Bombardier (Q400) ni 4, Airbus (A220) ni 2 na Bombadier Dash-8 (Q300) ni 1
-
Ndege 6 (Bombardier- Q400 na Airbus-A220) ndizo ziliweza kujiendesha kwa faida ya Tsh. bilioni 12.26 na Tsh. bilioni 12.09 mtawalia kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2021

#CAGReport2022 #JamiiForums

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments