Ticker

6/recent/ticker-posts

Shaffih Dauda "Ukweli Mchungu ni Kuwa Tanzania Bado Hatuna Timu ya Uwezo wa Kubeba Ubingwa wa Afrika"

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>


 Tunapenda sana kuambizana maneno laini, tunapenda sana kupeana iman kama Musa na wana Israel ila when it comes to football there is REALITY, uhalisia haukwepeki

Mtu anakuja kukupa mfano mbona Manchester United anatolewa Ulaya na timu ndogo, lakini anasahau haijawahi kutokea bingwa wa surprise kwenye michuano hiyo ya UEFA hadi EUROPA

Mtu anakuja kwenye mfano wa Virrareal kuwa wamefikaje nusu UEFA, wanahisi ni fluke, very sorry ni investment kubwa, sio ya kikosi pekee bali professional investment, Unai mnamuonaje?

Watakwambia Zambia alibeba AFCON 2012! Lakini wanasahau hii nchi vipaji ni kawaida yao, tangu zama za wakina Kalusha Bwalya wanacheza Ulaya, tayari wapo mbele ya muda dhidi yetu! Leo hii una Chama, Bwalya, walikuwepo wakina Sunzu na anakuja Phiri! Una hofu na quality yao?? Kocha Herve Renard alikuwa, vipi mna hofu na ubora wake?

Mwingine anakwambia Porto alibeba UEFA 2004 kwa fluke, inachekesha sana! Porto walitoka kuchukua EUROPA 2002/03 ila watu wanasahau sana sijui mpira wameanza lini

Mfano Simba anahitaji hatua kama hizi za robo na nusu hata mara sita, anahitaji kuingia fainali hata akose kisha atakuja kubeba! We need to have series of events ili uwe bingwa, watu wamewekeza sana

Kuna timu zinapaa na private jet za kwao, wana vikosi vikubwa kila ukigusa wana wachezaji wakubwa wa National teams, wenzetu wamefikia level kwenda uwanjani sio suala la hamasa, tayari wapo hatua moja mbele

Mkiambiwa ukweli msiwe wepesi kushika moto, fanya research sio suala la slogan ni suala la UWEKEZAJI

Inachekesha sana anapotokea Mtu hataki usifie daraja ambalo Ahly, Mamelodi, Mazembe na wengine wameliweka, inafikirisha

When DIGALA speaks, you listen

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments