Tanasha Donna “Jamani mniweke kwenye maombi yenu sipo vizuri hata kidogo…”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Tanasha Donna; ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Kenya, lakini amepata umaarufu mkubwa baada ya kuzaa na supastaa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz.

Tanasha ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwataka mashabiki wake wamuombee kwa sababu hayupo vizuri kiafya.
Tanasha anasema kuwa, hajisikii vizuri hata kidogo; “Jamani mniweke kwenye maombi yenu sipo vizuri hata kidogo…”

Ujumbe huo wa Tanasha umesababisha apewe pole na kuombewa ili apone haraka wakiamini kwamba huwenda anaumwa mno.
Tanasha na Diamond wamejaaliwa mtoto mmoja wa kiume aitwaye Naseeb Junior.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad