Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Hii imeshangaza kidogo baada ya wezi wawili walioingia nyumba ya ajuza na kuiba TV, microwave na vitu vingine wadondoka kisha kupitiwa na lindi la usingizi
Tukio limetokea tarehe 14 mwezi huu wa nne huko Pretoria, Afrika kusini ambapo baada ya wezi hao kuiba walipofika mlango wa kutokea ili watokomee ghafla wakaanguka na kupitiwa na usingizi mzito
Nini maoni kwa wezi hawa?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments