Ticker

6/recent/ticker-posts

Adakwa na Polisi kwa Kukata Korodani za Mume Wake kwa Msumeno Kisha Kuzipika


Mshituko! Adakwa na polisi kwa kukata korodani za mume wake kwa msumeno kisha kuzipika katika oven kwa madai mumewe ni mvivu

Mwanamke nchini Serbia kwa jina la Teresa Peric(46) yupo kwenye mikono ya vyombo vya sheria kwa kudaiwa kumuua mumewe huyo kwa jina la Srdjan Peric(42). Tukio limetokea tarehe 10 mwezi huu majira ya saa tatu za usiku


Kwa mujibu wa taarifa toka vyombo vya habari nchini humo, Teresa alimuwekea madawa kwanza ndipo akaanza kumchomachoma mumewe huyo kwa kisu na kumkatakata kisha kuyapika mapande ya mwili wa mumewe katika oven hob zikiwemo hizo korodani alizozikata kwa msumeno(chainsaw) 😭

Binti wa mwanke huyo amedaiwa kushughudia kila kitu na alienda kumuita Kaka yake lakini na wao walianza kutishiwa na mama yao

Kwa mujibu wa taarifa Teresa na Peric walianza kuishi pamoja miaka miwili iliyopita na hawajazaa pamoja mtoto ila kila mara wamekuwa wakishushiana vipigo na pia wote wanadaiwa kutumia madawa na wote wanaelezwa kuwa na matatizo ya akili ingawa hayakuwekwa wazi zaidi


Teresa alishaolewa mara nne na kila ndoa amezaa mtoto mmoja hivyo ana watoto 4 kila mmoja na baba yake, aliyemuua pichani hawajazaa mtoto pamoja

Kabla, siku za karibuni Teresa alidaiwa kupeleka moto kitandani alipokuwa amelala mumewe huyo kwa lengo la kumuunguza. Mara kwa Mara waligombana huku mke huyo akimtuhumu mumewe huyo kuwa mvivu

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments