AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mrembo Halima Kopwe atwaa taji Miss Tanzania 2022 na kujishindia gari aina ya Meredez benz la milioni 30 na zawadi nyingine milioni 10 taslimu
Kabla ya ushindi huo, Halima alikuwa mshindi wa pili wa Miss Kanda ya mashariki
Katika Miss Tanzania 2022 mshindi wa pili ni Angel Alfred na mshindi wa tatu ni Otaigo Mwema ambaye ni Miss vyuo vya elimu ya juu
Wewe unampa maksi ngapi ?
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK