Harmonize Baada ya Kutoka Kenya Amnunulia Mama yake Mzazi Gari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii @harmonize_tz amethibitisha kumnunulia gari mama yake mzazi, aina ya Toyota Harrier rangi nyeusi.

Hii inakuwa ni gari ya pili kwa Harmonize kumzawadia mzazi wake huyo. Mwaka 2019 aliwanunulia Baba na Mama yake Harrier mbili nyeupe.

Akieleza juu ya zawadi hiyo kwa Mama yake, Harmonize kwenye insta story yake ameandika, hakuna gari anayoipenda Mama Konde Boy kama Harrier.

"Mama Konde Boy hakuna gari anayoipenda zaidi ya Harrier. Hataki gari ya aina nyingine" - ameeleza @harmonize_tz na kuongezea, "Nimerudi Kenya miangaikoni, changamoto za hapa na pale, hatimaye sijarudi mikono mitupu, nimekuongezea hii nyingine Mama Konde Boy".

✍️: @omaryramsey

#SNSEnt
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad