JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dkt. John Pima pamoja na baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Serikali TZS milioni 233 zinazodaiwa kuwekwa kwenye akaunti za watu binafsi.
0 Blogger:
Post a Comment