JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Hamis Taletale (Babu Tale) amelikosoa vikali Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kudai kuwa baraza haliwasaidii wasanii badala yake limekuwa polisi.
"BASATA nI chombo cha kusaidia wasanii, lakini bahati mbaya BASATA imekuwa Polisi wa wasanii." Babu Tale, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki.
0 Blogger:
Post a Comment