Diamond: Ikitokea Nimekufa Hakuna Msanii wa Kuiwakilisha Tanzania Kimataifa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Diamond Platnumz kwa sasa ni msanii namba 4 kwa ushawishi Barani Afrika

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amesema ikitokea amekufa sasa hivi, hakuna msanii mwingine wa Bongo anayeweza lkuiwakilisha Tanzania Kimataifa.


Diamond Planumz akiwa na Zuchu

Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka orodha ya wasanii wa Afrika wenye ushawishi mkubwa zaidi Duniani ambapo katika orodha hiyo yeye ni wa nne na kusema kuwa ikitokea amefariki basi bendera ya tanzania haitakua kwenye orodha hiyo.

 

 

 

CEO huyo wa Lebo ya WCB ame-share post hiyo kwenye Insta story yake na kuandika; “Kiufupi ikitokea nimekufa bendera ya Tanzania haipo hapo… pengine top 100, Inshalaah.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad