Diva Achezea Kichambo cha Nguvu Kutoka Kwa Faiza Ally Baada ya Kuingilia Sakata la Mke wa Sugu Kumpost Mtoto wa Faiza Ally

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Diva Achezea Kichambo cha Nguvu Kutoka Kwa Faiza Ally Baada ya Kuingilia Sakata la Mke wa Sugu Kumpost Mtoto wa Faiza Ally, 

Mambo yalianza Hivi:


Baada ya Diva Loveness Kutoa Ushauri huo Hapo Juu hichi ndio Kichambo alichoangushiwa :

Tena Koma hujui uchungu wa Mtoto zaa kwanza Hlf Mtoto wako atumike kutiwa wewe ulie mzaa uchungu ndio utaelewa !!!! Tena koma siku nyingine punguza shobo kwenye issue za watu ! Nimekujibu wewe kwa sababu maarufu comment yako ina nguvu ! KOMA TUISHIE HAPO MAMBO HAYAKUHUSU

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad