Diwani ‘Aliyepotea Tabata’ Arejea Kikaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Diwani ‘aliyepotea’ arejea kikaoni
HATIMAYE Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare ameonekana kwa mara ya kwanza katika kikao cha Baraza la Madiwani cha Manispaa ya Kinondoni, tangu Meya wa Baraza hilo, Songoro Mnyonge alipotangaza kutoonekana katika vikao mbalimbali tangu Machi mwaka huu.

Mapema leo Juni 24, 2022, akitangaza kwa furaha na bashasha katika Baraza la Madiwani lililohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, Meya Songoro Mnyonge, amesema diwani huyo wa kata ya Kawe ameonekana kwa mara ya kwanza tangu alipotangaza kutokuonekana kwake kwenye mabaraza yaliyopita.

" .... baadae leo jioni tutakuwa na Get Together' na madiwani wengine kufurahia kurejea kwake, tunaamini hatapotea tena," amesema Meya huyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad