6/02/2022

HATIMAYE..Tundu Lissu Adai Amelipwa na Serikali Kiinua Mgogo Chake, Afunguka Haya

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amesema Serikali imemlipa kiinua mgongo chake aliochukuwa akikidai baada ya kutumikia nafasi ya Ubunge kwa zaidi ya miaka mitatu.


“Mnakumbuka nimekua nalalamika kwamba nilinyimwa kiunua mgongo changu, nimefanya kazi mpaka nilipofutiwa Ubunge nikanyimwa kiunua mgongo cha muda nilioufanyia kazi, katikati hapa kama miezi miwili iliyopita nimepigiwa simu na Mtu wa Wizara ya Fedha akaniambia Lissu tumelipa madeni yako, nilikua na madeni nilikopa Benki mbili infact nilishtakiwa na Benki mojawapo kwa kushindwa kulipa mkopo sababu mkopo wangu ulikua unalipwa kupitia mshahara wa Ubunge”


“Nilipoondolewa Bungeni pesa hazikulipwa nikapelekwa Mahakamani na Benki, huyu jamaa wa Wizara ya Fedha kaniambia wamenilipia madeni yangu yote na kiinua mgongo changu” ——— Tundu Lissu

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger