JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2022/2023, jijini Dodoma leo.
Kingu amesema kama kuna mbunge anayepinga ufanyaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa ni kichaa.
0 Blogger:
Post a Comment