6/19/2022

Steve Nyerere kuvunja ukimya "Uliona wapi serikali ikawa karibu na wapinzani"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Akoshwa na upinzani kwenda sambamba na Rais Samia

Msanii wa filamu @stevenyerere2 na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza ambaye ni kada wa CCM, amejipanga kuzungumza na Watanzania kuhusu mambo mbalimbali ya Kitaifa.

Muigizaji huyo ambaye amekuwa mstari wa mbele katika ku-support shughuli mbalimbali za serikali amedai siku hiyo atazungumza mambo mengi huku akigusia jinsi wapinzani walivyotulia baada kuulewa muziki wa Rais Samia.

“Uliona wapi serikali ikawa karibu na wapinzani kiasi hiki, na tukacheka nao na kula nao pamoja, haya ni majabu kama maajabu mengine ya dunia” Steve Nyerere

Amewaka Watanzani kuwa tayari kwaajili ya fursa mbalimbali ambazo watazianika siku hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger