Trafiki Aliyerekodiwa Akipokea Rushwa Kisha Kufukuzwa Kazi Afunguka Anayopitia, Aomba Kufutiwa Adhabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Alinuwila Sikana, Trafiki ambaye alifukuzwa kazi mwaka 2018 baada ya kurekodiwa video akiwa anapokea Tsh. Elfu 5 kwa Dereva, amewaomba Rais Samia, Waziri Masauni na IGP Sirro wamsamehe, wampunguzie adhabu na ikiwezekana arejee kazini “Maisha yamekuwa magumu, kwa sasa naendesha Bodaboda, Mzazi mwenzangu amenikimbia anatarajia kuolewa na Mwanaume mwingine kisa sina kazi”

“Nilmkamata Dereva alikuwa na deni la Laki 9, akaniambia anamuwahi Mama yake mgonjwa amelazwa akanionesha hadi picha, huruma ikaniponza nikamruhusu akanipa Elfu 5 kama shukrani tu nikapokea kumbe narekodiwa, wala sikudhamiria kupokea rushwa, alinipa kama shukrani akasema hela ya maji”

“Namuomba IGP Sirro, Waziri Masauni na Rais Samia, mnisamehe adhabu niliyopewa ni kubwa sana kuliko umri wangu, Wadogo zangu wamefukuzwa Shule, Baba amepata Presha nilikuwa tegemeo lao, bado nina nia ya kulitumikia Jeshi la Polisi”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad