AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa:
“Watu wanaogea wengine wapo nje wengine ndani, mfano suala la Ngorongoro na Loliondo watu wanaharibu haribu tu, wewe ungeishije pale haparuhusiwe kujengwa nyumba ya bati, huruhusiwi kuingiza chombo cha usafiri, hutakiwi kulima mle, huruhusiwi kufanya biashara mule wewe ungeishije?
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK