Ticker

6/recent/ticker-posts

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka Amehamishiwa Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe


Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe akichukua nafasi ya Waziri Kindamba ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments