Ticker

6/recent/ticker-posts

Jonas Mkude Kuweka Rekodi Mpya Simba SCKIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amesema anafurahi kuendelea kuweka rekodi ya kuwa mchezaji anayeshiriki matamasha mengi ya Simba Day ndani ya timu hiyo.


Mkude amefunguka hayo kuelekea siku ya Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 8 mwaka huu, Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam.


Kupitia mtandao wa kijamii Instagram ameandika kuwa ‘Agosti 8 tunaadhimisha Simba Day ya 14 kwangu mimi binafsi ni ya 12,”


“Ni heshima kwangu kuwa sehemu ya tamasha hilo kubwa la soka kwa miaka yote hiyo, tukutane kwa Mkapa kuadhimisha siku yetu wanasimba,” ameandika Mkude.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments