Ticker

6/recent/ticker-posts

Sallam SK amejibu tuhuma za baadhi ya watu kwamba alikuwa akimbania Alikiba kwenye game la muziki

Sallam SK amejibu tuhuma za baadhi ya watu kwamba alikuwa akimbania Alikiba kwenye game la muziki

Akihojiwa katika kipindi cha SalamaNa, Sallam amesema tuhuma hizo hazina ukweli wowote, akifafanua kwamba ni ngumu kumbania Alikiba sababu alikuwa anafanya kazi na Seven Mosha kama meneja wake. Sallam amesema Seven Mosha ni mmoja wa mameneja bora Africa mashariki kama si Africa na tayari alishafanya kazi MTV

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE

Post a Comment

0 Comments