Ticker

6/recent/ticker-posts

Taifa Stars leo kuanza kusaka fainali CHANTIMU ya taifa ya soka (Taifa Stars) leo ni mgeni wa Somalia katika mchezo wa kufuzu fainali za Ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa ndani(CHAN) zitakazofanyika Algeria 2023.

Mchezo huo wa kwanza utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Tanzania itakuwa mwenyeji katika mchezo wa marudiano utakaofanyika Agosti 30 kwenye uwanja huo huo wa Benjamin Mkapa.

Ratiba ya michezo mingine ya kufuzu CHAN ni kama ifuatavyo:


 
Malawi         vs   Zimbabwe
Shelishali     vs   Madagascar
Botswana       vs   Eswatini
Gambia         vs   Guinea-Bissau 

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments