Ali Kamwe "Mambo 10 nilioyaona YANGA vs SIMBA..Yule Mzungu ni Mandonga Mweupe"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1: DAR ES SALAAM IS GREEN & YELLOW ✅ BEAUTY BEAUTY… YANGA BINGWA TENA🏆 Kuna Raha kubeba Ubingwa, Halafu Kuna Raha ya Kubeba Ubingwa kwa kumfunga Mtani. WANANCHIIIII…🗣🗣

2: YANGA WAMESHINDA KIKUBWA mbele ya SIMBA. MAYELE AMESHINDA MECHI YAKE KIBABE MBELE YA INONGA✊ What A Player. What A Moment. KING MAYELE AMEIAMUA TENA NGAO YA JAMII🙌

3: TACTICALLY, NABI alikosea Dakika 45 za kwanza. Akapatia Dakika 45 za pili. Kivipi? Role ya Aziz Ki sio wa kucheza pembeni.. He is The Best kwenye Zone ya 14. Kwenye 4-2-3-1, Aziz kuwa pembeni kuliifanya Yanga ikose Balance walipokosa mpira huku Sure Boy na Aucho wakivutika kwa pamoja Simba walipokuwa wakifanya Build Up. Ikawa rahisi kwa CHAMA kupokea mpira nyuma ya mgongo wao.

4: Dakika 45 za pili, AZIZ KI alirudi kama namba 10. Fei akashuka chini. Morrison na Moloko wakaja kuwapa Yanga uhai kwenye mapana ya Uwanja. Tactically hapa Nabi akauridisha mchezo kwenye mkono wake, huku ZORAN akifanya makosa mawili kwa upande wake. Yapi?

5: Sub ya Chama. Labda kama kuna shida ya Fitness lakini sio OKWA wala OKRAH anayefikia uelewa wa Mbinu wa Chama. Usahihi wa pasi na Utulivu kwenye boksi la mpinzani. Bado Okwa na Okrah hawajapata ‘Link’ nzuri kati yao

6: Kosa la pili ni ile Sub ya Kanoute. Kwanini? Kanoute alikuwa sharp na alireact haraka kunasa pasi za hatari za Yanga. Viungo wa Yanga walisumbuka sana kuona njia ya kujenga shambulizi Kanoute alipokuwa katikati

7: AZiZ KI ANAJUA BOLI.. Ana maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Kama akielewana zaidi na Mayele pale juu, yale maelekezo yote aliyokuwa anayatoa kabla ya kupiga pasi, yatageuka kuwa mabao

8: Kwa mujibu wa Sheria namba 12 [Fouls and Misconduct] Henock hakustahili kuzimaliza Dakika 90. It was a serious Foul play iliyohatarisha usalama wa mchezaji mwenzake. ILISTAHILI KUWA KADI NYEKUNDU

9: Ouattara ni kitasa cha maana. Changamoto ni Henock kukubali kuwa namba 4. Lazima kuwe na kiongozi kati yao. Kuna makosa kiasi ya mawasiliano kwenye safu ya ulinzi

10: Well Done Kanoute👏 Well Done Dickson Job. Nafikiri Bangala ana faida zaidi kiufundi akicheza kati kuliko beki wa kati

Nb: Yule Mzungu ni ‘Mandonga Mweupe’😀
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad