Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za KochaAgosti 13, 2022 ulichezwa mchezo wa Ngao wa Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Yanga, huu ukiwa mchezo unaoashiria kuanzia kwa msimu mpya wa ligi kuu wa Soka bara msimu wa Mwaka 2022/23.

Kwa bahati mbaya mchezo wa jana haukuwa mzuri kwa Simba SC  lisha ya kuongoza kwa kipindi cha kwanza lakini Yanga waliporudi kipindi cha pili walifanya mabadiliko na kushinda magoli 2 dhidi ya Simba 1.

Sasa hapa nimekusogezea stori ufahamu alichokisema Barbara baada ya mchezo huo.

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đź’ĄNAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad