Hukumu ya Mtoto wa Simbachawene Alipe Sh 250,000 , Mahakama Yaamuru

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemuhukumu kulipa faini ya Tsh. 250,000 Mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, James Simbachawene (24) baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu.

Makosa hayo ni kuendesha gari kwa hatari, akiwa amelewa na kuendesha gari bila kuwa na bima, pia Mahakama hiyo imefungia leseni yake kwa miezi 6 baada ya kukiri kosa.

James amefikishwa mahakamani hapo leo August 24, 2022 na kusomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Aron Lyamuya, Mtuhumiwa huyo alisomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali Daisy Makakala.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad