Mwanadamu Aliyekufa Mwaka 1968 Lakini Hajaoza Mpaka Sasa Huyu Hapa


Katika Video Ni Mwili Wa "Padre Pio" Alifariki Dunia Mwaka 1968 Lakini Mwili Wake Hauozi Mpaka Sasa, Kutokana Na Mwili Wake Kutokuwa Na Dalili Ya Kuoza Waliamua Kuhifadhi Mwili Huo Katika Sehemu Maalumu Mpaka Sasa Ambapo Mamia Ya Watu Hutembelea Eneo Hilo, Na Katika iman Ya Roman Katoliki Padre Pio Ana Heshimika Kama Mtakatifu


💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad