Mwanamke ajinyonga na kipande cha kitenge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Elizabeth Cheleo mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa mtaa wa Nsemulwa, Kata ya Nsemulwa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amepoteza maisha kwa kujinyonga chumbani kwake  kwa kutumia kipande cha kitenge alichokining'iniza juu ya kenchi.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi Ali Makame Hamad, na kusema kwamba baada ya uchunguzi jeshi hilo lilibaini kwamba marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa akili.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad