Rasmi Sasa Manzoki Amesajiliwa na Dalian Pro ya China..Simba Waufyata Mkia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mshambuliaji wa Afrika ya Kati mwenye asili ya Congo DR Cezar Manzoki (25) amejiunga na Club ya Dalian Pro ya China akitokea Vipers SC ya Uganda kwa mkataba wa miaka mitatu.

Manzoki aliyekuwa anahusishwa na Simba SC kwa kiasi kikubwa hadi uvumi kusema ameshasaini Simba SC, amejiunga na Dalian Pro kwa ada ya uhamisho ya USD 400,000 (Tsh Milioni 932).

Manzoki alikuwa Mchezaji bora wa Uganda 2021/2022 na alikuwa Mfungaji bora pia wa Ligi Kuu Uganda msimu huo kwa kufunga magoli 18, Mchezaji bora wa Wachezaji na Mshambuliaji bora wa msimu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad