Waziri Mkuu wa Finland Kupimwa Kama Anatumia Madawa ya Kulevya Baada ya Kufanya Hili Tukio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin (36) amefanyiwa vipimo kuthibitisha kuwa hana vimelea vya Dawa za Kulevya za aina yoyote ndani ya mwili wake baada ya video kuvuja ikimuonesha akicheza muziki na kula bata na marafiki zake.

Waziri huyu alisema wakati akiwa kwenye shughuli hio hakutumia dawa za kulevya, Baada ya video hio kusamba wapinzani wake wameitumia kulazimisha afanya vipimo hivyo, haya ni mambo yake binafsi na amesikitishwa yalivyosambaa hadharani.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad