50 Cent Akana Kuongeza Uume Kwa Surgery...Kumshitaki Daktari Aliyetangaza Kumfanyia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


50 Cent anafungua kesi dhidi ya daktari bingwa wa upasuaji baada ya kuripotiwa Hospitali yake Imetumia picha yake kudai kuwa alikuwa mmoja wa wateja wao.

Rapa huyo anamshitaki daktari bingwa wa upasuaji wa plastiki Angela Kogan na kampuni zake, Perfection Plastic Surgery na MedSpa, akieleza kuwa wanaendelea kutumia picha yao ya zamani wakiwa pamoja na kudai alifanyiwa upasuaji wa kuongeza uume. Picha hiyo ilichukuliwa mnamo Februari 2020 baada ya 50 Cent kupiga picha na mtu aliyedhani ni shabiki ila sasa anaitumia picha kukuza biashara zake.

50 anasema alikuwa na wasiwasi baada ya chanzo kingine cha habari kuchapisha makala na Dk. Krogan kuhusu upasuaji na kuongeza nguvu za kiume. Nakala hiyo ilikuwa na picha ya Krogan na 50 Cent mnamo Agosti. Stori imefutwa Online ila bado ipo kwenye Search Engines.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad