Ally Kamwe: Yanga Hii Ina Ubavu wa Kushindana na Vigogo wa Soka Afrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



AFISA Habari mpya wa Yanga, Ally Kamwe leo  Septemba 30, 2022 ameongea na wanahabari  katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam amesema kumekuwa na habari mbalimbali kuhusiana na ukubwa na ugumu wa mchezo wetu ujao.

Pia amewaondolea wasiwasi mashabiki wa timu hiyo huku akisisitiza kuwa klabu yao ina ubavu wa kushindana na vigogo wa soka barani Afrika.

“Watu wanasema Al hilal wana wachezaji wazuri kisa Kuna mchezaji katoka Asec Mimosas je hao Al hilal wanajua pia kuwa Eng Hersi alitoa mtu pale Asec Mimosas…?”


“Wanasema Kuna mchezaji katoka As Vita club na wao je kuwa wanajua kuwa Yanga walimsajili mfungaji bora wao na yupo Yanga kwa sasa.?”

“Wanasema wana mchezaji Kutoka Senegal je jiulize wanajua na sisi tuna mchezaji Kutoka Burundi ambaye kapita EPL tena akitwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa Championship? Sisi Yanga tuna uwezo wa wachezaji wakubwa kuliko wao na Kama pesa na sisi tupo vizuri zaido yao tuna Ghalib said Mohamed,”

Kwa kuzingatia maelezo ya Afisa habari wetu hakuna sababu ya kuhofia chochote kuelekea mchezo huo na mashabiki wetu tunawaasa sana kufika uwanjani kifua mbele tena kwa kujiamini kwa sababu tuna malengo makubwa kufanikisha hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad