Harmonize Ana Bifu na Waandaji wa Tuzo? Jina Lake Lakosekana Tuzo zote Mbili Afrima na Afrimma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tarehe 16 Sept zilitoka Nominations za All Africa Music Awards (AFRIMA) Ila jina la Harmonize halikuonekana Popote pale hata kwa bahati mbaya tu.

Pia jana, zimetoka Nominations za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) pia Jina la Harmonize halijaonekana popote pale.

Unahisi kwanini waandaaji wa Tuzo hizi kubwa barani Afrika hawamuoni Harmonize?

Hali mbaya pia kwa Kiba, AFRIMA amepata Nomination moja ila AFRIMMA hajapata hata ya Mgonga Kengele Bora.

Kiba na Harmo Wamelowa! wamelowa! wamelowa!

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad