Kanye West Achutama, Amuomba Msamaha Kim Kardashian Kwa Maujinga Aliyokuwa Anamfanyia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye rapa na mfanyabiashara Kanye West (45) ameamua kumuangukia na kumuomba msamaha mzazi mwenzake, Kim Kardashian (41) kwa mfadhaiko wowote aliomsababishia hivi karibuni juu ya kulea watoto wao wanne ambao ni North, (9), Saint, (6), Chicago, (4), na Psalm, (3).

Kanye West kupitia mahojiano yake na kipindi cha Good Morning America ameeleza kwamba, Kim ni mama watoto wake na anaomba msamaha kwa changamoto zozote ambazo amemsababishia.

Pia amesema, anahitaji Kim asiwe na msongo wa mawazo awe na akili timamu na mtulivu ili kuweza kuwalea watoto wao vizuri.

Aidha, Kanye amebainisha kwamba kuhusu yote aliyomsababishia Kim ni kutokana na kujihisi ananyimwa haki ya kuwalea wanae.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad