Nesi Ajiingizia Vibrator Kwenye njia ya Haja Kubwa, Yakwamba Tumboni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo mmoja aliyefahamika kwa jina la Caitlin Savage amelazimika kufanyiwa upasuaji baada ya sex toy (vibrator) aliyokuwa akiitumia kujiridhisha kimwili kukwamba mwilini.


Mrembo huyo amesema alikuwa faragha na boyfriend wake wanaendelea na mambo yao hivyo wakashauriana atumie kifaa hicho kuingiza katika sehemu zake za siri, baada ya kuingiza vibrator hiyo ilizama mpaka tumboni.


Akielezea mwenyewe kupitia mtandao wa TikTok, Caitlin amesema alijaribu kila mbinu ikiwemo kwenda kukaa chooni ili kuitoa vibrator lakini ilishindikana akazidi kuhaha mwishowe wakaamua aende hospitali ila kufika huko akawa anaona aibu kuwaeleza madaktari maana yeye mwenyewe ni mwanafunzi anasomea unesi.


Madaktari walimpiga x-ray na wakajionea wenyewe vibrator iliingizwa katika "njia ya haja kubwa" badala ya ukeni.


Baada ya kufanyiwa upasuaji, mashine hiyo ilitolewa, madaktari waliiweka katika kifuko cheusi wakaamuuliza mdada kama bado analitaka vibrator lake? Mrembo huyo alishtuka na kujibu "HAPANA, AHSANTE" haitaki tena amekoma.


Katika video aliyoiposti TikTok, inamuonyesha binti huyo pamoja na picha ya x-ray inayoonyesha vibrator hiyo ikiwa mwilini, ameandika; “Siku mbaya katika katika maisha yangu. Ni somo la siku: Msiweke vitu mahali ambapo havitakiwi kwenda.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad