Rosa Ree Aachia VIDEO ya Wimbo Wake Akiwashirikisha Chemical na Frida Amani...Asema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ameandika Haya Msanii Rosa Ree: 

TUNAKUFANYA NDAFU KULA KUJIGARAGAZAAAA!!!!! I’m so happy about this project. Nafurahi kwamba tumeweza kuungana pamoja na kufanya track kubwa kwa upendo! Nia yangu ya hii project ilikua kuondoa ile dhana kwamba “wanawake hawapendani” na pia kuonyesha mashabiki wetu kwamba inawezekana wote tukawin kwa pamoja kwa sababu wote tunaleta flavour zetu za kipekee na we can all have a seat at the table and a piece of the cake!! Pia BIGGGGG THANKS to my sisters @chemical_tz na @fridaamaniofficial kwa kupokea ombi langu kwa upendo na kuuuuaaaa kwenye track. Niseme tu, huu ni muendelezo wa kitu kikubwa sanaaaa! THE FUTURE IS FEMALE AND THE FUTURE IS NOW! S/O to Levels Baba @travellah hujawahi kukoseaaaa kwenye chupaaaa! Na @ibrah_jacko madddd beat as per usual!!!!

Tazama Video Hiyo Hapa Chini:

 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad