Shilole "Nilianza Kuuza Sahani CHACHE Nilizokuwa Nawauzia Rafiki Zangu tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa @officialshilole Amepost Video Hii Nakuandika............"Nilianza kwa sahani chache nilizouzia rafiki zangu, nikasogea kuwa na sehemu ndogo, tukawa na eneo letu pale Morocco. Baadae nilifyeka eneo lililokuwa pori pale Kinondoni, na kuweka kujenga Shishi Food ya sasa (Dar es Salaam)


Kwa majaaliwa ya Mungu na support yenu ndugu zangu, nimeweza kubadilisha eneo lingine hapa Dodoma, tumejenga kuanzia mwanzo na kupata kitu kizuri. Video hiyo inaonesha eneo lilivyokuwa.

Nawashukuru sana lakini bado nawaomba support yenu, msiniache mimi mtoto, dada, mdogo na rafiki yenu: hebu Jumapili jioni njooni tuzindue pamoja eneo jipya hapa karibu na shopaz Dodoma na tulipe nguvu sana. This is before tusubiri after 🙌🏾👌🏽''

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad