TPA yatoa tamko ujenzi Bandari ya Bagamoyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mamlaka  ya Usimaizi Bandari nchini (TPA), imesema ipo katika maandalizi ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, itakayosaidia utoaji wa huduma za upakiaji na kushusha mzigo.


Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Plasduce Mbossa wakati akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), waliofika kutaka kujua mipango mbalimbali ya mamlaka hiyo katika kuboresha utoaji wa huduma.

Amesema, kuanzia Januari mwaka 2023 TPA itaanza ujenzi wa kituo kikubwa cha kisasa cha kupokelea mafuta katika bandari ya Dar es Salaam, hatua itakayosaidia  meli kutotumia muda mrefu kushusha mzigo.


Awali  Mwenyekiti wa Bodi ya EABC, Anjelina Ngalula, alisema yeye pamoja na wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wako tayari kutumia bandari ya Dar es Salaam katika kushusha mizigo yao, kwa kuwa malalamiko yaliyokuwepo awali yamefanyiwa kazi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad