Wakenya Wachafukwa Baada ya Mwimbaji Willy Paul Kununua Daladala na Kuitisha Press Conference, Diamond Atajwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mitandao ya kijamii hasa kurasa za kiburudani nchini Kenya, zimechafuka kuhusiana na Msanii Willy Paul kununua gari moja aina ya Hiace na kuifanya Matatu (Daladala) na kuita press kwaajili ya ishu hiyo, na ukiwa ni uwekezaji mkubwa zaidi kwa msanii huyo tangu aanze muziki miaka kadhaa iliyo pita. Asilimia kubwa ya comments za wakenya wanadai Muziki wa Kenya ulishakufa, na wasanii wana majina makubwa lakini pesa hawana, ni wachache sana wenye nazo zinazo tokana na sanaa wanayo fanya.

Moja ya mdau, amecomment kwenye page moja ya Udaku nchini humo, akidai maisha bado hayana balance, Wakati Diamond akinunua Ndege, Willy Paul bado yuko kwa Matatu (Daladala), Comment hiyo imefanya baadhi wajibu kuwa Diamond si wa kufananishwa na Wasanii wengine, mwingine akimcheka mtoa Comment kwa kuuliza akili za Kumfananisha Willy Paul na Diamond kazitoa wapi.


Lakini pia wapo walioona Willy Paul kafanya uwekezaji mkubwa na ipo siku mambo yatakubali zaidi.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad