Zuchu: Sichoti fedha za Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MSANII wa Bongo Fleva nchini, Zuhura Othuman ‘Zuchu’ amesema matumizi mbalimbali anayofanya anatumia fedha zake na wala sio fedha za bosi wake Naseeb Abdul ‘Diamond’.

Amesema licha ya kazi ya usanii ambayo inampatia fedha za kutosha, lakini pia amekuwa balozi wa taasisi na kampuni mbalimbali, kazi ambazo zinampatia pia fedha, hivyo isionekane kwamba Diamond ndiye anampa fedha.

“Sio kweli kwamba nachota pesa za Diamond Platnumz kama mnavyosema jamani, nafanya kazi, napata pesa zangu, si mnaona ninavyoachia kazi,  mashabiki ni mashahidi, kazi zangu  ndizo zinazonilipa na ubalozi nilionao,”amesema Zuchu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad