Akon Akiri Kuwahi Kumtumia Mdogo Wake Kama Mbadala Kwenye Shows Zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kama uliwahi kuhudhuria onesho lolote la Akon, basi unaweza kuwa ulipigwa na hakuwa yeye bali ni mdogo wake, Abou Thiam. Mwanamuziki huyo na Mfanyabiashara amekiri kuwahi kumtumia mdogo wake huyo kama mbadala kwenye maonesho mbali mbali kufuatia kuzidiwa na mialiko ya show (Overbooked)


Kwenye mahojiano na Kipindi cha Morning Hustle wiki iliyopita, Akon alikiri hilo na kusema ilibidi afanye hivyo ili kutoziacha pesa kwa sababu za kuchoka au kubanwa na ratiba. “Bu aliwahi kuwa mbadala wangu, hii ilikuwa ni kabla ya mitandao kuingia. Kama ukimuona Abou kwenye eneo moja na Mimi, hautaona tofauti kabisa.” alisema Akon na kuendelea


“Bu alianza kama Hyper Man wangu kwenye show. Hivyo akawa anafahamu na kuzoea kutumbuiza. Kuna muda show zilikuwa nyingi sana, nikamwambia hatuwezi kuziacha hizi hela zote mezani, tukakubaliana awe anaenda kuzifanya yeye zingine badala yangu.”

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad