Hakika Huu ni Wakati wa Wasanii wa Nigeria, Wazivamia Tuzo za Muziki Marekani ( American Music Awards)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jana zilitoka Nominations za Tuzo za Muziki barani Ulaya (MTV EMA) kwa mwaka 2022 na kuona wasanii wengi toka Nigeria wakiwa kwenye kipengele cha Msanii bora Afrika ambapo pia msanii wetu Zuchu ameiwakilisha vyema Afrika Mashariki kwa kutajwa kwenye kipengele hicho.


Leo Alhamis Oktoba 13, zimetoka Nominations za Tuzo za Muziki nchini Marekani maarufu kama (American Music Awards) ambapo Beyonce na Taylor Swift wameongoza kwa kutajwa zaidi kwenye vipengele, wametajwa mara 6 kila mmoja.


Gumzo limekuja baada ya kuonekana kipengele maalum cha Muziki wa Afrobeats kwenye Tuzo hizo ambacho kinaitwa (Favorite Afrobeats Artist) na kimewakutanisha wasanii wa Nigeria pekee akiwemo Burna Boy, CKay, Wizkid, Tems na Fireboy DML.


Aidha Tems ametajwa pia kwenye kipengele cha Kolabo Bora ya mwaka kupitia ngoma ambayo ameshirikishwa na Future & Drake “Wait For U” lakini pia wimbo wa Wizkid ft. Tems “Essence” umetajwa kwenye kipengele cha Favorite R&B Song.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Makampuni Tofauti Bonyeza HAPA

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad